STAA wa filamu mwenye mvuto wa aina yake Bongo, Kajala Masanja amesema kuwa hakuna kitu kinachompa ‘stress’ kama unene hivyo ameamua kuanza mazoezi.
Akizungumza jijini Dar es Salaam, Kajala alisema hakuna kitu ambacho kinampa ‘stress’ kama unene hivyo kuanzia sasa ameamua kuacha usingizi wake kila asubuhi ili kufanya mazoezi ya kupunguza mwili.
“Unene ni stress jamani, sihitaji kabisa ni bora niache usingizi nifanye mazoezi na sasa hivi nimeshazoea na matunda