Google PlusRSS FeedEmail

NANI MZURI KATI YA HAWA WAWILI

                                 
   
                             

Kwenye Mitandao ya Jamii Hasa Instagram kwa Sasa zimeibuka Team Mbili Kubwa zinazoshinda huko kwa Kupeana Vijembe vya Hapa na Pale Kuhusu Wema Sepetu na Mrembo Zari The Lady Boss wa Uganda,
                                   

Ushandani huo wa Team Zari na Team Wema Umekuja Baada ya Mwanamuziki Diamond Kuwa na Mahusiano ya Kimapenzi na Wote hao wawili kwa Muda tofauti ambapo kwa sasa Diamond Ameweka Wazi Kuwa anatoka na Zari ..Ubishi mmoja wapo ni kuwa nani ni mzuri wa Umbo na Sura kati ya Wema Sepetu na Zari , Nasisi hatuna hiyana tumeona wewe useme nani mzuri


Haya Nani Mrembo zaidi kati ya Wema Sepetu na Zari The Lady Boss?

This entry was posted in

Leave a Reply

    Receive all updates via Facebook. Just Click the Like Button Below...

    Get This SpiceUpBlogging