Google PlusRSS FeedEmail

MADONNA AANGUKA KATIKA TUZO

Tuzo kuu nchini Uingereza za muziki, the Brits, zimetolewa London. Ed Sheeran alichaguliwa kama msanii bora mwanamume wa kipekee Uingereza. Taylor Swift, alitajwa kama msanii mwanamke wa kimataifa wa kipekee. Katika sherehe hizo.

Madonna aanguka katika sherehe hizo Mwanamziki Madonna akiwa ameanguka jukwaani katika tuzo za Brits Hata hivyo muimbaji maarufu, Madonna alikumbwa na mkosi wa aina yake ambao ulimharibia siku baada ya kujikwaa katika ngazi na kuanguka mbele ya kadamnasi.

This entry was posted in

Leave a Reply

    Receive all updates via Facebook. Just Click the Like Button Below...

    Get This SpiceUpBlogging