Muigizaji na mwanamuziki nchini Nigeria Olamide Adedeji amepata mtoto wa kiume .Hatua hiyo imekuja baada ya mchumba wake Adebukunmi Suleiman,kujifungua Jumamosi Iliyopita katika Hospitali ya St . Ives ,Ikeja iliyopo nchini humo.
Adebukunmi aisha amejifungua salama na mtoto huyo amepewa jina la Olamidele na anaendelea vyema na wameruhusiwa kurudi nyumbani..