Google PlusRSS FeedEmail

SITTI MTEMVU AGUSWA NA WATOTO WAISHIO KATIKA MAZIGIRA MAGUMU

                                 

Tukio hilo limetokea mapema leo,kwenye kituo cha kulelea watoto kilichopo chang'ombe mjini Dodoma,ndipo ambapo mlimbwende huyo aliposhikwa na butwaa na kujawa na hudhuni na mmoja kati ya watoto waliopo kituoni hapo,

Akajikuta akimbeba mtoto huyo kama inavyoonekana hapo juu pichani,hali hyo ilipelekea kila mmoja aliefika eneo hilo la kituo cha watototo kujawa na huruma na kuguswa ,kiukweli huyu ni miss ambaye ana hofu ya Mungu na huruma ya aina yake juu ya kusaidia wasiojiweza ama waishio katika mazingira magumu,ni mfano wa kuigwa kwa kila mwananchi au yoyote yule aliepewa dhamana ya kuelimisha jamii 

Mfano kwa jamii iliyomzunguka,vile vile ametoa msaada wa sabuni nyingi za kutosha kituo kizima yaani katoni za miche ya sabuni!!!Pamoja na PESA taslim Laki nne 4,00,000/= na vyote hivyo vimetokana na kipato chake mwenyewe ambacho ameamua kugawana na jamii inayomzunguka bila msaada wa mtu wala kampuni yoyote

This entry was posted in

Leave a Reply

    Powered By Blogger

    Receive all updates via Facebook. Just Click the Like Button Below...

    Get This SpiceUpBlogging