Riyama anasema kuwa anaamini kuwa siku kama hiyo kwa kuiga inaweza kuwa ni siku ambayo inasababisha mahusiano mapya na kuvunjika kwa mapenzi ya zamani, kwa sababu ya kuiga tamaduni kutoka nje wakati tayari tuna tamaduni zetu, yeye haoni faida ya kuiga vitu ambavyo si utamaduni wa kwake.
RIYAMA AZUNGUMZIA MAISHA YAKE YA KIMAPENZI