Google PlusRSS FeedEmail

ROSE NDAUKA - WASANII TUZAE

                                              
Mcheza filamu Rose Ndauka,ametoa wito kwa wasanii wa kike kuachana na tabia ya kutoa mimba kwani kufanya hivyo ni kunyume cha maadili na kujidhalilisha

Aliongeza kwa kusema baadhi ya wasanii wa filamu nyota hawataki kuzaa hata wale waliowazaa kabla ya kuwa staa hawawapendi

alisikika akisema'' mimi sijui kwa nini wasanii wengi hawapendi kuzaa,kuzaa ni swala la kujipanga tu maana kama kipaji kiko hakuna haja ya kuogopa kuzaa.ni vyema kuzaa mapema kwani umri hausubiri ..

This entry was posted in

Leave a Reply

    Receive all updates via Facebook. Just Click the Like Button Below...

    Get This SpiceUpBlogging