Google PlusRSS FeedEmail

LADY JD ATAJA SIFA ZA MUME AMTAKAYE

  

Ilikuwa ni wiki ya kipekee sana mara baada ya mwanamuziki Judith Wambura,Lady Jaydee.mara baada ya kukubali kujibu maswali ya mashabiki wake katika ukurasa wake wa Istagram..

Jaydee alitaja sifa za mpenzi ambaye anamuhitaji kwa sasa lazima awe mtu anayejiheshimu,kumtunzia utu wake .,mwenye roho ya upendo na huruma .anayeweza kuniangalia na kunuwezesha kifedha,asipenda michepuko.
This entry was posted in

Leave a Reply

    Receive all updates via Facebook. Just Click the Like Button Below...

    Get This SpiceUpBlogging