Google PlusRSS FeedEmail

WIZIKID NA SKALES WAINGIA VITANI KWA MARA NYINGINE

  
Msanii Ayodeji Ibrahimu Balogum WizKid na Raoul John Njeng Skales 'wameingia katika ugomvi mara baada ya kila mmoja kumshutumu mwezie dhidi ya kuibiana mdundo Beat ailiyotenegenezwa wimbo wa  Azonto

Ugomvi hou umeshika kasi baada ya wawili hao kutupiana matusi hadharani upitia mtandao wa Twitter,huku kila mtu alimlaumu mwenzake juu ya mdundo wa wimbo huo.

Awali kabla ya ugomvi huo,WizKid aliwahi kuingia kwenye utata na msanii mwenzake Davido kwa kurushiana maneno..

This entry was posted in

Leave a Reply

    Receive all updates via Facebook. Just Click the Like Button Below...

    Get This SpiceUpBlogging