Google PlusRSS FeedEmail

DIAMOND ATHIBITISHA ZARI KUWA MJAMZITO

Diamond Platnumz amefunguka kuhusiana na habari zilizoenea kwenye mitandao mbalimbali zikisema kuwa alinusurika kukatwa mguu, akiongea na chombo kimoja cha habari nchiniNairobi, Diamond amesema alifanyiwa upasuaji huo wa mguu kutokana na kichuma alichokuwa nacho siku nyingi ndani ya mguu wake, lakini kwa sasa amepona na yuko fiti.

Akizungumzia kuhusiana na afya ya mama yake, Dimond Platnumz amesema baada ya kurudi kutoka India kwenye matibabu sasa hivi amepona kabisa, kuhusu ishu ya ujauzito wa mpenzi wake Zari, Diamond amesema anatarajia kupata mtoto wake wa kwanza na anamsubiri mtoto wake huyo kwa hamu kubwa sana.

This entry was posted in

Leave a Reply

    Receive all updates via Facebook. Just Click the Like Button Below...

    Get This SpiceUpBlogging