Google PlusRSS FeedEmail

DRAKE AMTHIBITISHIA LIL WAYNE KULALA NA MPENZI WAKERAPPA wa nchini Marekani, Lil Wayne katika kitabu chake ambacho kitatoka hivi karibuni, amefunguka kuwa wakati yupo gerezani, mwanamuziki mwenzake aitwaye Drake alimthibitishia kulala na mpenzi wake.

Lil ameyafunguka hayo katika muswada wa kitabu chake kipya kitakachotoka hivi karibuni. Lil ameandika kuwa akiwa gerezani katika Kisiwa cha Rikers, Julai 2007 akitumikia kifungo cha miezi nane kwa kumiliki silaha kinyume na sheria

This entry was posted in

Leave a Reply

    Receive all updates via Facebook. Just Click the Like Button Below...

    Get This SpiceUpBlogging