Google PlusRSS FeedEmail

JAWEL ALLISON AIBUA MAPYA

                             

Jewel Allison,ambaye alimtuhumu Bill Cosby kwamba alimbaka mwishoni mwa mwaka 1980 ametoa kali nyingine mara baada ya kuibuka na kutoa sababu zingine zilizomfanya awe kimya kwa muda wote huko


Kwa mwujibu wa Gazeti la Washington Post ,amesema yeye ni mweusi kwa wakati ule weusi walikuwa wakibaguliwa sasa ilimpasa kumlinda mweusi mwenzake.kwa kipindi hicho bill cosby alikuwa na mafanikio  makubwa kama angeliibua wazungu wangehakikisha wana mpoteza katika tasnia ya uchekeshaji...alisikika akisema ''Niliona kuanika story hii kungemuangusha Cosby na niliofika kuangusha jamii nzima ya watu weusi...

Aliongeza kwa kusema Cosby alimualika kwa chakula cha jioni na kumuwekea kitu kwenye mvinyo,alipozinduka alijikuta ameshaingiliwa,...wachambuzi wa mambo bado wanajiuliza je sababu ambazo Jewel Allison anasema je zina mashiko kwa kipindi hichi?

This entry was posted in

Leave a Reply

    Receive all updates via Facebook. Just Click the Like Button Below...

    Get This SpiceUpBlogging