Google PlusRSS FeedEmail

SHILOLE NATAKA KUZAA WATOTO WAWILI

                        

Mwanadada anayetamba katika tasnia ya filamu na mziki  nchini Zuwena Mohamed Shilole,amesema kuwa kwa sasa yuko katika mpango wa kutafuta mtoto yeye na mpenzi wake Nuh Mziwanda ambaye naye ni msanii

Shilole amesema kutokana na maneno mengi yanayozungumzwa na watu kuhusu penzi lao,

Shilole alisikika akisema ''Nampenda sana mziwanda wangu kuna watu wanaongea sana ila mimi sijali na nina mpango wa kuzaa nae watoto wawili.

This entry was posted in

Leave a Reply

    Receive all updates via Facebook. Just Click the Like Button Below...

    Get This SpiceUpBlogging