Google PlusRSS FeedEmail

YOUNG KILLER - NILITAMANI SIKU MOJA NIRUDI KUCHEZA SOKA ILA BASI TENA


Mwanamuziki wa Bongo Flever Erick Msodoki ''Young Killer '' amesema kuwa hana mpango wa kurudi kucheza soka  kwa muda huu

Young Killer 20 ni mmoja ya wachezaji kwenye vipaji pekee ambavyo vimetokea katika soka la Tanzania ,Young Killer amesema matumaini yake kurudi katika soka yamepotea kabisa hasa kutokana na kocha wake wa zamani Sylvester Marsh kufariki Dunia

Young Killer ni moja ya watu walioguswa sana na msiba  huo,kwani alikuwa na matumaini siku moija angerudi kucheza soka chini ya kocha huyo

miaka ya nyuma nilikuwa mchezaji mzuri sana hasa kufunzwa vyema na Marsh ila matumaini yamepotea kabisa kurudi kwenye soka 

This entry was posted in

Leave a Reply

    Receive all updates via Facebook. Just Click the Like Button Below...

    Get This SpiceUpBlogging