Google PlusRSS FeedEmail

NINA DOBREV AJITOA KWENYE VAMPIRE

                                    

Star wa Tamthilia ya Vampire Diaries ,Nina Dobrev,amethibitisha kujitoa katika tamthilia hiyo siku chache kabla ya kuisha kwake
Kauli ya Nina Imekuja siku chache baada ya kuwepo kwa uvumi wa kujitoa kwa staa huyo licha ya kushindwa kuthibitisha haraka

Kupitia ukurasa wake wa Instagram mwana mama huyo aliandika ''nimeamua kujitoa kucheza sehemu za tamthilia hiyo na ninaomba uamuzi wangu uheshimiwe''

Mara baada ya kuandika hivyo mashabiki wa tamthilia hiyo walisema kujitoa kwa mshiriki huyo kunatia shaka muendelezo wa tamthilia hiyo ambayo inafanya vizuri sana MarekaniNae Mtayarishaji wa tamthilia hiyo amemtakia kila la heri muigizaji huyo na kusema huenda pengo lake likaonekana katika sehemu ya sita ya tamthilia hiyo,hata hivyo aliongeza kuwa  anamtakia nina kila la heri katika kazi zake

This entry was posted in

Leave a Reply

    Receive all updates via Facebook. Just Click the Like Button Below...

    Get This SpiceUpBlogging