Google PlusRSS FeedEmail

P.DIDDY NA DRAKE WAZIKA TOFAUTI ZAO


MWAKA jana hawa jamaa waliripotiwa kuingia katika  bifu nzito, lakini taarifa zilizopo katika mtandao wa  TMZ ni kwamba Drake na Diddy wamemaliza bifu yao.

Mtandao wa TMZ umeripoti kwamba, maadaui hawa wa zamani walikutana Jumatatu jioni Mel’s Drive west Hollywood wakiwa wawili tu.

Kwa mujibu wa mtonyaji wa habari hiyo, wakali hawa wa Hip Hop walizungumza mipango ya kibiashara, kutengeneza mikwaju ya kutosha na kuingia rasmi kama “Partners” kwenye clothing line ya pamoja.

This entry was posted in

Leave a Reply

    Receive all updates via Facebook. Just Click the Like Button Below...

    Get This SpiceUpBlogging