Google PlusRSS FeedEmail

SKYLIGHT BAND YAENDELEA KUTOA BURUDANI

Ilikuwa noma sana siku ya Ijumaa iliyopita maana ilikuwa sio ya kupitwa basi mchuke na ndugu, jamaa au rafiki yako leo uje kuona vitu vitamu kutoka kwenye Bendi ya Skylight.

Meneja wa Skylight Band, Aneth Kushaba AK47 akiendelea kutoa burudani huku akisindikizwa na wasanii wenzake ambao ni Ashura Kitenge(wa kwanza kutoka kushoto), Joniko Flower(wa pili kutoka kushoto) pamoja na Sony Masamba. Ilikuwa ni furaha maana Fleva zilizokuwa zikipigwa zilikuwa zinawapagawisha mashabiki
Sam Mapenzi akitoa burudani huku akisindikizwa na wanamziki wenzake waliokuwa wakimpa support ya nguvu kwenye ngoma za Nigeria ambao ni Joniko Flower (wa kwanza kushoto), Ashura Kitenge(wa pili kutoka kulia) pamoja na Sony Masamba.

This entry was posted in

Leave a Reply

    Receive all updates via Facebook. Just Click the Like Button Below...

    Get This SpiceUpBlogging