Google PlusRSS FeedEmail

BOBBY BROWN ATOKWA NA MACHOZI MFULULIZO

Majonzi!! Baba mzazi wa Bobbi Kristina Brown, Bobby Brown ( mwenye kofia nyekundu ) akiwa katika majonzi makubwa baada ya kufiwa na mtoto wake Bobbi Kristina jana jumapili.

Binti huyo amefariki akiwa na umri wa miaka 22, na amekuwa katika hali ya kupoteza fahamu kwa zaidi ya miezi sita, tangu alipokutwa akiwa ameanguka bafuni na kukimbizwa hospitali Janurary 31' 2015.

Alikuwa mtoto wa wanamuziki mahiri Whitney Houston ambaye amefariki dunia na baba yake ni Bobby Brown.

This entry was posted in

Leave a Reply

    Receive all updates via Facebook. Just Click the Like Button Below...

    Get This SpiceUpBlogging