Google PlusRSS FeedEmail

SNOOP MBARONISnoop lion dog alikuwa na show Sweeden, lakini hakumaliza salama kama ambavyo ilitegemewa baada ya kukamatwa na polisi kwa kuhisiwa kuwa amefanya matumizi makubwa ya Bange na dawa za kulevya.

Kupitia ukurasa wake wa Instagram, Snoop amelalamikia vitendo vya kiunyanyasaji na kiubaguzi alivyofanyiwa na polisi hao akidai kuwa hakuwa na kosa lolote alilolifanya.

Baada ya kuhojiwa na kufanyiwa ‘drug test’ masaa kadhaa, mkali huyo aliachiwa huru ‘but’ ni ‘too bad’ kwa wapenda Hip Hop Sweeden rapper huyo katangaza hatokanyaga tena nchini humo.

This entry was posted in

Leave a Reply

    Receive all updates via Facebook. Just Click the Like Button Below...

    Get This SpiceUpBlogging