Google PlusRSS FeedEmail

HATIMAYE KID INK AVUNJA UKIMYA AMVISHA PETE YA UCHUMBA MPENZI WAKE

Baada ya kudumu kwenye mahusiano kwa muda mrefu, hatimae Rapper Kid Ink ame “propos” kwa demu wake Asiah Azante.

Mkali huyo anaeiwakilisha “crew” ya Bat gang, ameiambia Hot 97 kwamba alikuwa akisubiri muda muafaka.

“I feel like it’s not just getting married and getting a ring. I feel like it’s a lifestyle you have to live when you become engaged and become married.” Alisema Kid

Kupitia kurasa zao za Instagram Ink na Asiah, wamepost picha mbali mbali zikifafanua zaidi tukio hilo.

This entry was posted in

Leave a Reply

    Receive all updates via Facebook. Just Click the Like Button Below...

    Get This SpiceUpBlogging