Google PlusRSS FeedEmail

WILL SMITH NA JAY Z WAPATA DEAL LA KUONGOZA TAMTHILIYA FUPI YA HBO

Mwaka jana wakali hawa walikutanishwa pamoja, na kuongoza uandaaji wa tamthiliya ya kimuziki ya ‘Anne’ ambayo pia ilimuhusisha Jamie Fox mwaka huu wamekutanishwa pia kwenye ‘deal’ nyingine ‘nono’.

Leo wametangazwa kama ni ma ‘Executive producers’, wa ‘series’ fupi iliyoandaliwa na kituo cha television cha HBO, tamthiliya hii ni historia ya kweli na inamuhusu kijana raia wa Marekani mwenye asili ya Kiafrika Emmett Till aliyeuawa kibaguzi mwaka 1995 akiwa na umri wa miaka 14 mjini Mississippi.

This entry was posted in

Leave a Reply

    Receive all updates via Facebook. Just Click the Like Button Below...

    Get This SpiceUpBlogging