CHRISS BROWN ATOA ZAWADI KWA MTOTO WAKE
Chriss Brown anaendelea kuwashangaza, wale ambao walidhani hatokuwa baba bora kutokana na tabia zake za kitukutu zilizozoeleka.
Ni miezi kadhaa tangu amchukue na kuamua kuishi na mwanaye Royalty, wawili hawa wamekuwa na furaha mara dufu siku za hivi karibuni.
Breezy katujuza kupitia ukurasa wake wa Instagram, kuwa ‘his next album’ itaitwa jina la binti yake huyo Royalty.