Google PlusRSS FeedEmail

KELIS ATARAJIA KUPATA MTOTO WA 2

                             

Msanii kutoka Nchini Marekani   Kelis ameonekana akiwa na ujauzito mara baada ya kuwa mafichoni kwa muda sasa ... na anategemea kupata mtoto wa pili. Kelis ameshawahi kujipatia umaharufu mkubwa hasa kupitia vibao vyake kama Milkshake na Caught Out There...
 Kwa mara mwisho Kelis  alionekana katika Tamasha la  Afropunk huko Brooklyn na kuonyesha tumbo lake kwa mashabik  pia mpaka sasa Kelis na mumewe Rapper Nas wana mtoto wa miaka 6..

This entry was posted in

Leave a Reply

    Receive all updates via Facebook. Just Click the Like Button Below...

    Get This SpiceUpBlogging