Google PlusRSS FeedEmail

DR DRE KUTOA ALBAMU

Kwa miaka 15 mashabiki wa msanii Dr Dre wamekuwa wakingojea kwa hamu tangazo hilo muhimu.

Na sasa hatimaye mwanamuziki huyo alitangaza wikendi hii katika kipindi cha rappa huyo kwamba albamu yake mpya itakuwa tayari ifikiapo Agosti tarehe 7.

Lakini tulidhani kwamba mwanamuziki huyo ambaye pia ni mtunzi alikuwa anaiandaa ile albamu yake kwa jina Detox.

Lakini alisema kwamba albamu ya Detox haikuwa nzuri.

''Sidhani kama nilifanya kazi nzuri na siwezi kuwafanyia mashabiki wangu hivyo na vilevile sikuweza kujifanyia hivyo'',alisema.

Akizungumza katika kipidi chake cha beat One ,amesema kuwa albamu hiyo mpya kwa jina The Pharmacy ilishawishiwa sana na rappa wa miaka mingi NWA.

This entry was posted in

Leave a Reply

    Receive all updates via Facebook. Just Click the Like Button Below...

    Get This SpiceUpBlogging