Google PlusRSS FeedEmail

SHILOLE AENDELEA KUMGANDA NUH MZIWANDAMSANII wa muziki wa bongo fleva Shilole, ameandika haya mara baada ya sauti iliyorekodiwa ya mchumba wake Nuh akisikika akimtongoza msanii wa filamu nchini Wema Sepetu.

Ambapo Ilionekana kama baada ya kusambaa hadharani kwa sauti hiyo kungefanya mapenzi yao yayumbe au waachane lakini imekua tofauti na matarajio kwani Shilole alithibitisha kuendelea kwao pamoja kwa kupost hiyo picha hapo juu na kuandika ‘Mi siachani nawe na ntakupenda zaidi’

This entry was posted in

Leave a Reply

    Receive all updates via Facebook. Just Click the Like Button Below...

    Get This SpiceUpBlogging