Google PlusRSS FeedEmail

HATIMAE NDENDE AVUTA JIKO

         Hamis Ndende, Chau Uledi

MUIGIZAJI mkongwe wa filamu Bongo Hamisi Ndende amemzawadia mkewe gari kama shukrani kukubali kuolewa naye na kumzalia mtoto wa kike Hamida, msanii huyo alimtuza gari aina ya Paso mkewe Chau Uledi, katika shereha za harusi iliyofanyika hivi karibuni.“Mara nyingi katika ndoa zawadi hutolewa na kama kamati au wazazi lakini mimi kwa upendo wangu nimeamua kumzawadia mke wangu zawadi ya gari mimi kama mimi kama shukrani kwa mke wangu kudumisha mapenzi yetu,” Ndende.

Ndende anasema kuwa maandalizi ya sherehe yake alifanya kwa kushirikiana na rafiki zake huku akizingatia nafasi yake kama msanii mkubwa katika tasnia ya filamu, Ndende ni msanii ambaye pia kwa sasa anaimba na alibuka kung’ara katika filamu ya Girfriend baadae katika tamthilia ya Jumba la Dhahabu

This entry was posted in

Leave a Reply

    Receive all updates via Facebook. Just Click the Like Button Below...

    Get This SpiceUpBlogging