Google PlusRSS FeedEmail

JACKIE CHAN KUTUA NIGERIA

                              
Nyota wa filamu kutoka Hongkong,China Chan Kong - Sang almaharufu Jackie Chan anatarajia kutembelea Nchi ya Nigeria

Chan atakuwepo nchini humo kutambulisha filamu mpya aliyoigiza ya Dragon Blade iliyoongozwa na Daniel Lee

Chan anatarajia kuwa September 4 akiwa amewakilishwa na kampuni ya filamu ya FilmOne waliopata haki za kuuza fulamu hiyo Africa

Dragon Blade inaonekana mara ya kwanza mwaka 2014 kwenye Festival na ilishinda tuzo tofauti kwenye Tamasha la Abuja International Film Festival na ilishinda tuzo tofauti kama filamu Bora ya nje Best Foreign Film

This entry was posted in

Leave a Reply

    Receive all updates via Facebook. Just Click the Like Button Below...

    Get This SpiceUpBlogging