Google PlusRSS FeedEmail

DOGO JANJA AKABIDHIWA ZAWADI YA GARI

                   dogo 2

Dogo Janja amethibitisha kuwa jana kwenye siku yake ya kuzaliwa amenunuliwa gari  na Madee ambaye ni kama mlezi wake kwa muda mrefu. Birthday ya Dogo Janja ilikuwa Sept 15 na amefikisha miaka 21.Dogo Janja amemshukuru Madee na Bab Tale kwa mchango wao

Madee ambaye ni mlezi wa mwanamuziki huyo kwa muda sasa amefanya hivyo katika kuonesha upendo wake kwa mwanamuziki huyo aliyezaliwa September 15 miaka 21 iliyopota..

This entry was posted in

Leave a Reply

    Receive all updates via Facebook. Just Click the Like Button Below...

    Get This SpiceUpBlogging