Google PlusRSS FeedEmail

JOHN DEEP AWATISHIA KUMWANGAMIZA MTU YOYOTE ATAKAYE JARIBU KUWATESA WATOTO WAKE

     

Mwigizaji Johnny Depp,ametishia kumwangamiza mtu yoyote atakayewaumiza watoto wake.Nyota huyo wa filamu ambaye kwa sasa na umri wa miaka 52 ana watoto wa kike 2 wa kike ambaye anaitwa Lily - Rose 16 na wa kiume Jack 13 ambaye alimzaa na  mpenzi wake wa zamani Vanessa Paradis..Amebainisha kuwa mama yake alimtaka kupambana na watesaji wa watoto wadogo kwa nia ya kujipatia fedha..aliongeza kuwa kwa yoyote atakaye jaribu kuwadhuru watoto wake atamuangamiza.Depp alisema hayo wakati akiongea na waandishi wa habari katika tamasha la kimataifa la Filamu la Toronto International {TIFF}

This entry was posted in

Leave a Reply

    Receive all updates via Facebook. Just Click the Like Button Below...

    Get This SpiceUpBlogging