Google PlusRSS FeedEmail

LUPITA NDANI YA VOGUE MAGAZINE

                     
Akiwa amepata kazi ya kuweka picha yake katika jarida maarufu la mitindo la Vogue Magazine ,Lupita Nyongo amezidi kutikisa katika ulimbwende ambapo hivi karibuni aliwaacha watu kuo kutokana na mavazi aliyavaa

Mkenya huyo anayeishi Nchini Marekani,mwisho mwa wiki hii alionekana akiwa amevalia suti yenye mkono mifupi iliyobuniwa kwa ustadi

Lupita ambaye mara kadhaa amewahi kutetea namna ya uvaaji wake kuwa inakwenda na ngazi yake na asili ambapo alionekana kama binti wa kizamani katika muonekano wa sasa

Mshindi huyo wa truzo ya Oscar ,alivalia suti ya moja ambayo alimechisha pamoja na mkoba wake 

This entry was posted in

Leave a Reply

    Receive all updates via Facebook. Just Click the Like Button Below...

    Get This SpiceUpBlogging