MADEE AMZAWADIA GARI DOGO JANJA
Jana ilikuwa ni siku ya kumbukumbu ya kuzaliwa Star wa Hip Hop Bongo, kutokea mkoani Arusha Dogo Janja ambae ametimiza miaka 21.
Sasa meneja na mlezi wa msanii huyo kutokea Tip Top Madee Ally, ameamua kumtunuku Dogo Janja zawadi ya gari aina ya Passo kama ishara ya kutambua mchango wake.