Google PlusRSS FeedEmail

SURA YA MTOTO WA DIOMOND AWEKWA HADHARANI

                 Tiffah2

Diamond Platnumz na Zari Hassan wameweka wazi picha ya mtoto wao Tiffah ambacho mashabiki wa msanii huyo walikuwa wakisuburu tendo hilo kwa hamu kubwa ..Sura ya Tiffah imeonyeshwa siku 40 baada ya kuzaliwa kwake na sherehe kubwa imefanyika nyumbani kwa Diamond Platnumz
Mastaa kibao kutoka Tanzania wamehudhuria sherehe hizi,

This entry was posted in

Leave a Reply

    Receive all updates via Facebook. Just Click the Like Button Below...

    Get This SpiceUpBlogging