Google PlusRSS FeedEmail

AJALI YAMRUDISHA KHLOE KWA LAMAR

                             

Mwanamitindo Khloe Kardashian,amelazimika kumuacha mpenzi wake James Harden na kumrudia mume wake Lamar Odom ,mara baada ya nyota huyo wa kikapu kukutwa ameanguka na kupoteza fahamu.

Khloe alionekana akishirikiana na madaktari kumuingiza Lamar kwenye chumba cha ungalizi maalumu 'ICU' katika Hospital ya Sunrise iliyopo Los Angeles Marekani.
                      
Kwa muzjibu wa Tmz wanandoa hao walitengana miaka kadhaa iliyopita wanaweza wakarudiana tena na kufanya habari iwe mbaya kwa mcheza kikapu huyo aliyezama kwenye penzi la mwanamitindo huyo.

     


This entry was posted in

Leave a Reply

    Receive all updates via Facebook. Just Click the Like Button Below...

    Get This SpiceUpBlogging