Google PlusRSS FeedEmail

AUNTY EZEKIEL ''KUNA MAISHA MARA BAADA YA UCHAGUZI''

                                  

Mwanamama nyota wa filamu za Kitanzania Aunty Ezekiel amewataka watanzania kuweka pembeni tofauti zao za itikadi ya vyama mara baada ya uchaguzi ,akizungumza Dar es salaam amesema'' leo ni siku muhumu sana kwa wa Tanzania kupiga kura kuchagua vingozi wetu''

''Ila kuna baadhi ya wasanii wamonekana kutofautiana katika itikadi za vyama,sasa mara baada ya matokeo wasanii wote tuungane na tufanye kazi kwa bidii kwa maendeleo ya taifa letu''\

Aliongeza kuwa ikitokea CCM au UKAWA wameshinda basi tungane tuwe kitu kimoja tuweke itikadi pembeni tufanye kazi.

This entry was posted in

Leave a Reply

    Receive all updates via Facebook. Just Click the Like Button Below...

    Get This SpiceUpBlogging