Google PlusRSS FeedEmail

YOUNG KILLER ASAKA MSIMAMIZI WA KAZI ZAKE

                                  

Rapper wa muziki wa kizazi kipya Nchini Young Killer Msodoki,ameamua rasmi kusaka msimamizi wa kazi zake kwa ajili ya kusimamia na kundi lake la matunzo Zero Unit la jijini humo.

Akizungumza Dar es salaam jana Young Killer alisema binafsi anashindwa kufanya vizuri katika fani kutokana na kukosa msimamizi kwani kwa sasa shughuli zake zote za muziki anazifanya yeye mwenyewe

Aidha young Killer alisema kama kuna mtu anaweza kuwa msimamizi wa kazi kuwa msimamizi wa kazi zake na yupo tayari ajitokeze wakae chini pamoja wapange jinsi ya kufanya kazi..

This entry was posted in

Leave a Reply

    Receive all updates via Facebook. Just Click the Like Button Below...

    Get This SpiceUpBlogging