Google PlusRSS FeedEmail

LADY GAGA KUFUNGA NDOA HUKO MOROCCONyota wa muziki wa Pop Nchini Marekani,Angelina Germanotta maarufu Lady Gaga,Anatarajia kufunga ndoa na Taylor Kinney katika ardhi ya Africa

mchumba huyo wa Lady Gaga ambaye ni msanii wa filamu amesema anataka kwenda nchini Morocco kwa sababu ni sehemu tulivu pia ni moja ya eneo alilofanyia filamu yake ya Rock The Kasbah.

Wawili hao wanatarajia kufikia kilele cha mapenzi yao siku za hivi karibuni baada ya kudumu kwenye mahusiano kwa muda wa miaka minne mpaka Taylor alipomvisha pete ya uchumba mwanzoni mwa mwaka huu

This entry was posted in

Leave a Reply

    Receive all updates via Facebook. Just Click the Like Button Below...

    Get This SpiceUpBlogging