Google PlusRSS FeedEmail

MINAJ & MEEK MILL WACHENGUA MASHABIKI JUKWAANI

                          

Mwimbaji machachari wa kike Nicky Minaj na mpenzi wake, juzi walikuwa kivutio mara baada ya kupigana busu jukwaani

Minaj na Meek Mill walichomoza katika onyesho la muziki uliofanyika mwishoni mwa wiki huko Philadelphia Pennsylvania.

Msanii huyo mwenye mbwembwe 32 alimpiga busu mpenzi wake mbele ya mashabiki wa muziki katika onyesho hilo

wageni lukuki walichomoza katika onyesho hilo walipiga mayowe ya kushangilia baada ya tukio hilo Meek 28 nayetamba na wimbo wa Back to Back pia rapa mwenye uwezo mzuri wa kutawala jukwaani

This entry was posted in

Leave a Reply

    Receive all updates via Facebook. Just Click the Like Button Below...

    Get This SpiceUpBlogging