
Mwanamitindo na mcheza filamu ambaye ni raia wa Nchini Kenya Lupita Nyon'go amechomoza Katie onyesho akiwa na stail mpya Mjini New York,Marekani
Mshindi huyo wa tunzo ya Oscar ,alionekana katika mavazi ya kawaida tofauti na fani yake ya urembo yaliyompa mafanikio
Lupita 32 akiwa amebeba mkoba wa rangi ya njano na miwani ya jua,alioneka tofauti,kwa kuwa alikuwa amejitandaza kitambaa kutoka kichwani na shingoni.







