Google PlusRSS FeedEmail

ALLY KIBA ATOA UFAFANUZI WA KAULI YAKE KWENYE MTANDAO WA KIJAMII


Jumatatu November 16 Mwanamuziki uimbaji Ally Kiba alitolea maelezo kuhusu kauli yake hiyo kwenye mtandao wa kijamii.

Kiba amesema kuwa watu walimuelewa vibaya kwenye post hiyo na ndio sababu kubwa ya kuamua kuifuta,

“watu walinielewa vibaya mimi nilikua nawaambia mafans wangu, sababu wao ndo wananipigia Kura mimi sikumaanisha kuhusu tuzo walinielewa vibaya” alisema Kiba.

Hata hivyo licha ya kwamba yeye hakushinda kipengele hata kimoja kati ya vinne alivyotajwa kuwania kwenye tuzo za AFRIMA 2015, lakini hakumpongeza hata msanii mmoja wa Tanzania aliyeshinda ambao ni Diamond na Vanessa Mdee. Kusuhu hilo Alikiba alisema,

“Siwezi ku-post kitu kuhusu Kushinda Kwao, unajua hakuna uzalendo. watu wangapi wanafanya Vitu vizuri hawapongezwi? Mimi nafanya vingapi? Sisi sio wazalendo…Unajua watu mimi hawanijui Wanahisi kama mimi nina ringa hivi au nina wivu, ila mimi nawapenda wasanii wote pia mziki mzuri” alisema Alikiba.

Alipoulizwa kuhusu uhusiano wake na Diamond ukoje kwa sasa, ndipo alimpongeza Platnumz kwa ushindi wa tuzo 3.

“Mimi sina tatizo na Diamond, nasikia kashida tuzo 3, nampongeza Sana sababu tumepata mtu ambaye anatutambulisha kimataifa ni Kitu poa Sana

This entry was posted in

Leave a Reply

    Receive all updates via Facebook. Just Click the Like Button Below...

    Get This SpiceUpBlogging