Google PlusRSS FeedEmail

CHRISTIAN BELLA KUFANYA COLLABO NA KOFI OLOMIDE?????


MWANAMUZIKI wa bendi ambaye ametamba na kibao cha 'nani kama mama' Christian Bella ambaye pia ni kiongozi wa Malaika Band afanya collabo na msanii wa muziki wa Dansi mwenye asili ya Jamhuri ya Kidemokrasia Congo, Kofi Olomide.

Muimbaji huyo alitoa taarifa hiyo kupitia ukurasa wake wa Istagram, huku akiweka picha zinazomuonesha akiwa sambamba na mwanamuziki huyo mkongwe wa bolingo.

Kupitia mtandao wa Instagram Bella alipost picha akionyesha yupo na gwiji wa muziki wa bolingo anayetokea Jamhuri ya Kidemokrasi Congo Kofi olomide.Ambapo Bella aliandika “Nikiwa studio na big artist kazi nzuri inakuja.

This entry was posted in

Leave a Reply

    Receive all updates via Facebook. Just Click the Like Button Below...

    Get This SpiceUpBlogging