Google PlusRSS FeedEmail

WEMA SEPETU AJIMWAGIA SIFA

              

Mtoto mzuri Bongo, Wema Isaac Sepetu ameSEMA  bado nyota yake itaendelea kung’aa siku zote wala haitafifia kwani amezaliwa nayo labda asiwepo duniani. Wema  anamshukuru Mungu kwa kumjalia nyota hiyo ambayo inawezekana kuna watu wanatamani izimike wakati wowote, jambo ambalo haliwezekani leo wala kesho na kwa kuwa alitoka nayo tumboni kwa mama yake, Miriam Sepetu.

“Hata kama watu wataichafua kiasi gani, nyota yangu itaendelea kung’aa hadi nitakapokuwa mzee. Nitakuwa ni bibi mwenye mvuto na hata watoto watapenda kusikiliza hadithi zangu,” alisema Wema

This entry was posted in

Leave a Reply

    Receive all updates via Facebook. Just Click the Like Button Below...

    Get This SpiceUpBlogging