Google PlusRSS FeedEmail

FLORA MVUNGI NA MWANAE WACHEZA FILAMU YA PAMOJA

                               

Staa wa filamu na muziki, Flora Mvungi ‘H.Mama’ akiwa na mwanaye.
STAA wa filamu na muziki, Flora Mvungi ‘H.Mama’ amecheza filamu moja na mtoto wake aitwaye Tanzanite, akisema anafanya hivyo ili kuonesha kipaji alichonacho.

Katika filamu hiyo, licha ya mwanaye pia amewashirikisha mastaa wengine kadhaa akiwemo Wastara. “Baada ya kimya kirefu, sasa narejea na kazi hii itakuwa mtaani muda si mrefu,” alisema.

This entry was posted in

Leave a Reply

    Receive all updates via Facebook. Just Click the Like Button Below...

    Get This SpiceUpBlogging