Google PlusRSS FeedEmail

JORSBLESS AKAMILISHA ALBAMU YENYE NYIMBO 13

Mtayarishaji wa muziki, muimbaji na Dj Johnson ‘Jorsbless’ Sululu, amesema amefanikiwa kukamilisha album yake yenye ‘ngoma’ 13.

Akizungumza juu ya hilo  Jorsbless amefafanua kuwa album hiyo itaitwa ‘I never left’. Tayari mkali huyo ana Hit moja inayosumbua hivi sasa iitwayo ‘A moment’.

Mbali na kuimba ‘Jors’ ni miongoni mwa watayarishaji wa muziki wa muda mrefu Bongo, akiwa amefanikiwa kutengeneza ‘Hits’ za kutosha ikiwemo album iliyofanikiwa ya RNB staa Rama Dee ‘Chini ya Uvungu wa moyo wangu’.

SOURCE. WWW.TIMESFM.COM

This entry was posted in

Leave a Reply

    Receive all updates via Facebook. Just Click the Like Button Below...

    Get This SpiceUpBlogging