Google PlusRSS FeedEmail

LINEX NA GARI YA MKUU WA WILAYA

MSANII  wa muziki wa Bongo Flava Sunday ‘Linex’ Mjeda, ameamua kuelezea mkasa uliomkuta baada ya ‘kuikwangua’ gari ya mkuu wa Wilaya ya Kinondoni Paul Makonda wiki tatu zilizopita.

Kupitia ukurasa wake wa Facebook,Linex ameelezea Ikhsani aliyofanyiwa na Makonda licha ya kumfanyia makosa. Usome ujumbe wake hapo chini then tuachie maoni yako.

“Katika mizunguko ya hapa na pale Kama week mbili tatu zilizo pita majira ya saa 9:00 usiku kwa bahati mbaya nilipiga pasi gari la mtu nikashuka kwa lengo LA kufanya makubaliano nae mala nikashangaa ameshuka mh @paulmakonda kwa kua sijawahi kukaa nae kokote wala kufahamiana nae nikajua Leo yamenifika lakini cha kushangaza aliposhuka Aliangalia wapi pamekwaruzika then akaniambia ni bahati mbaya wakati mi nilijua atatumia nguvu au nafasi aliyo nayo serikalini kweli usiamini unachosikia au kuona hata chumvi saa nyingine hua Ina fanana na sukari, "The VOA' ameandika Linex.


This entry was posted in

Leave a Reply

    Receive all updates via Facebook. Just Click the Like Button Below...

    Get This SpiceUpBlogging