Google PlusRSS FeedEmail

NAY WA MITEGO ACHANGANYWA NA MAPENZI MAPYA

MSANII wa muziki wa kizazi kipya nchini Nay Wa Mitego ameamua kuyaweka wazi mapenzi yake mapya katiyake na mwanamke mrembo mtanzania anayeishi nchini Marekani anayejulikana kwa jina la Chaggaempress.

Ambapo Nay kupitia akaunti yake ya Istagram, ameweza kutuma picha tofauti zinazomuonesha mwanamke huyo, na kuonesha hisia zake za mapenzi juu yake.

 " Ukiuza Alteza make sure unanunua BMW au PRADO, usije uza Alteza ukanunua Colora" aliandika Msanii huyo katika ukurasa wake wa Istagram, ingawa maneno hayo yalipokelewa tofauti na baadhi ya mashabiki wake juu ya mahusiano mapya.

This entry was posted in

Leave a Reply

    Receive all updates via Facebook. Just Click the Like Button Below...

    Get This SpiceUpBlogging