Google PlusRSS FeedEmail

MASANJA MKANDAMIZAJI KURA HAZIKUTOSHA

                                  
Mastaa wa Bongo Tanzania ambao walijitosa na kujipanga kwenye foleni ya kuusaka Ubunge iliongezeka baada ya mchekeshaji kutoka Kundi la Orijino Komedi,Masanja Mkandamizaji nae kujitosa kwenye foleni hiyo.

Kura hazikutosha kwake, maana yake ni kwamba kwenye Kura za maoni upande wa makada wa CCM Ludewa, Masanja hajafanikiwa kupita… lakini aliahidi pia hata kama akishindwa bado ataendela kumpa support yule atakaepita.

Kwenye ukurasa wake wa Twitter, Masanja ameandika haya kukubali matokeo “Ludewa ….. Dah! Najipanga nitarudi tena. Sasa ni muda wa kumpigia kampeni aliyepita ili akatuwakilishe Bungeni. 

This entry was posted in

Leave a Reply

    Receive all updates via Facebook. Just Click the Like Button Below...

    Get This SpiceUpBlogging