Google PlusRSS FeedEmail

NAVY KENZO WACHAGULIWA KUWANIA TUZO ZA NIGERIA

WASANII wanaounda kundi la Navy Kenzo wachaguliwa kuingia katika tuzo za Nigeria ziitwazo TP Naija Music Awards, ambapo wawaomba watanzania na watu wote wenye mapenzi mema na muziki wa hapa nyumbani kuwapigia kura kwa wingi ili waweze kufanikiwa kutwaa tuzo hiyo.

"Game" ni ngoma yao inayofanya vizuri katika chati za radio na runinga ndani na nje ya nchi pia.Navy Kenzo ni group linaoundwa na wakali wawili amabao ni Aika na Nahreel ambao pia na wapenzi wa muda mrefu.

Aika alisema kuwa ”Kundi letu na Navy Kenzo limechaguliwa kuingia katika tuzo za Nigeria ziitwazo Tp Naija Music Award,na ili kuleta tuzo nyumbani tunaomb watanzania watupigie kura.”

Hii ni hatua kubwa nyingi kubwa katika muziki wa bongo fleva.Hivyo team tizneez inawatakiwa kila la kheri katika mchakato huu. Na jinsi ya kupiga kura nenda katika bio yao instagram @navykenzoofficial

This entry was posted in

Leave a Reply

    Receive all updates via Facebook. Just Click the Like Button Below...

    Get This SpiceUpBlogging