Google PlusRSS FeedEmail

RAY C APOTEA BAADA YA KUJIINGIZA KATIKA MAKUNDI YASIYOFAA

Mtangazaji maarufu wa kituo cha radio Clouds fm ambaye anatangaza kipindi cha mchana maarufu kama XXL,Hamis Mandi a.k.a Bdozen ambaye ni miongoni mwa watangazaji machachari wanaofanya vizuri katika vipindi vya burudani, ameweka wazi juu ya muimbaji maarufu nchini Rehema 'Ray C' kuwa alipotea baada ya kujiingiza katika makundi yasiyofaa.


Alisema kuwa Ray C alipotea baada ya kujiingiza katika makundi yasiyofaa hali iliyopelekea kukosea mfumo wake mzima wa maisha ya burudani.

Aliyasema hayo Kupitia kipindi cha mkasi ambapo alikuwa akifanyiwa  mahojiano na Salama ambapo Bdozen aliulizwa kuhusu Ray kama anadhani Ray C alikosea wapi?.Bdozen alisema”Ray alikosea kuwa kwenye group ambayo hakutakiwa kuwepo,Na pia hata nikipewa nafasi ya kumshauri siwezi maana matukio yake tumeendelea kuyasikia kila siku.”Alisema

This entry was posted in

Leave a Reply

    Receive all updates via Facebook. Just Click the Like Button Below...

    Get This SpiceUpBlogging