Google PlusRSS FeedEmail

SHILOLE ATAFUTA MCHEZA SHOW ALIYEJAZIA

Msanii wa Kike wa muziki wa Kizazi kipya Bongo Zuwena ‘Shilole’ Mohamed, anatafuta wacheza shoo wa kike ili kujiongezea nguvu ya ufanisi.

Akizungumza na Times FM, Shilole ametoa angalizo kwa yule ambaye anataka kujiunga nae lazima awe na ‘makalio’ makubwa.

“Yeah wajitokeze tu, lakini sharti wawe na ‘mikia’ yani wawe mashalah, wamejazia ili hata akicheza mtu aseme yes hapa sawa” alisema Shilole.

Mkali huyo ameongeza kuwa, hivyo ni vigezo na ambavyo yeye kavipanga na waombaji wanapaswa kuzingatia.

This entry was posted in

Leave a Reply

    Receive all updates via Facebook. Just Click the Like Button Below...

    Get This SpiceUpBlogging