Google PlusRSS FeedEmail

RICK ROSS APATA KIFUNGO CHA NJE

                                   

Rapa Rick Ross amekuwa mtu huru baada ya mahakama kufuta adhabu ya kutosafiri nji ya mji aliokuwa anaishi.

Ross alipewa kifungo cha nje kwa muda mfupi baada ya kukabiliwa na kesi ya kumpiga mtu kwa kutumia silaha ya moto 

Jaji amesema Rozay anaweza kuwa huru kwenda kokote sababu aliyefungua kesi hio haishi maeneo karibu na Rozay.

Rozay haruhusiwi kwenda karibu na kijana aliyemfungulia kesi na hatakiwi kuondoka mjini Georgia bila kuoa taarifa.

This entry was posted in

Leave a Reply

    Receive all updates via Facebook. Just Click the Like Button Below...

    Get This SpiceUpBlogging